VIDEO: YANGA WAMVAA PRIVA KUVAA UZI WA SIMBA
SHABIKI wa Yanga ameabinisha kuwa hakutarajia kuhusu ujio wa Ally Kamwe ndani ya Yanga na amefurahi kuskia kwamba amepewa nafasi hiyo, kuhusu Priva akiwa na jezi za Simba wamebainisha kuwa kijana huyo ni msomi na mwanasheria ana jezi nyingi amazo amevaa ikiwa ni pamoja na Coastal Union haina maana kwamba yeye ni Simba lialia