
ZINCHENKO, ODEGAARD KUIWAHI DABI
MASTAA wawili wa Arsenal, Oleksandr Zinchenko na Martin Odegaard, imeelezwa kuwa watakuwa fiti kwa ajili ya mchezo wa Dabi ya London Kaskazini dhidi ya Tottenham, unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi ijayo. Mechi hiyo inasubiriwa kwa shauku kubwa itapigwa kwenye Uwanja wa Emirates huku ikizikutanisha timu hizo zilizopo ndani ya Top 3 kwenye Premier kwa sasa. Zinchenko aliukosa…