YANGA YASAINI MIKATABA MIWILI, BILIONI KUKUSANYWA
UONGOZI wa Yanga leo Septemba 12,2022 umeingia makubaliano na GSM kwa kusaini mikataba miwili ya miaka mitano ambayo itawafanya wavune zaidi ya bilioni 10. Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said amebainisha kuwa sababu kubwa ya kuinga makubaliano hayo ni utekelezaji wa sera yake ambayo aliingia nayo wakati wa uchaguzi iliyokuwa inalenga kuimarisha nguvu ya uchumi….