LEO Yanga itakuwa ugenini kwenye mchezo wa hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC.
Hiki hapa kikosi cha kwanza cha Yanga kitakachoanza namna hii:-
Mshery
Djuma
Kibwana
Bangala
Aucho
Feisal
Ambundo
Mayele
Aziz KI
Moloko
Akiba
Johora
Bacca
Bryson
Job
Lomalisa
Mauya
Gael
Nkana
Makambo