TAIFA STARS YAFUNGASHIWA VIRAGO CHAN

MWENDO wa kuwania kufuzu CHAN kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars umegotea Uganda baada ya kufungwa mabao 3-0 na kufanya itolewe kwa jumla ya mabao 4-0. Mchezo wa leo Stars ilikuwa na mzigo wa kusaka mabao zaidi ya mawili na kupambana kujilinda wasifungwe jambo ambao liliweza kudumu katika dakika 14 za mwanzo pekee….

Read More

KIKOSI CHA STARS KITAKACHOANZA DHIDI YA UGANDA

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda, leo Septemba 3 Uwanja wa St Marys, Kitende, Uganda. Ikumbukwe kwamba mchezo wa leo ni wa mkondo wa pili kwa Stars ikiwa inakumbuka ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa Mkapa hivyo leo ina…

Read More

SIMBA YAPOTEZA MCHEZO WA KIMATAIFA

KIKOSI cha Simba leo kimepoteza mchezo wa kirafiki kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Arta Solar uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Bao pekee la ushindi kwa Arta Solar lilipachikwa dakika ya 89 kupitia kwa nyota wao Manunchu Athuman ambaye aliweza kupachika bao hilo lililomshinda kipa Ally Salim. Dakika 45 za kipindi cha kwanza Simba walifanikiwa kutawala…

Read More

KISINDA ATAJA SABABU ZA KUREJEA NDANI YA YANGA

TUISILA Kisinda kiungo wa Yanga ameweka wazi kuwa amereja kwa mara nyingine kufanya kazi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Winga huyo wa Yanga amerejea kwa mara nyingine ndani ya Yanga baada ya kuuzwa msimu uliopita ndani ya kikosi cha RS Berkane ya nchini Morocco. Amerudi kwa mara nyingine kuitumikia Yanga…

Read More

TAIFA STARS KAZI KUBWA IFANYIKE KUSAKA USHINDI

BADO kazi haijaisha kwa wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ ambao leo wanatarajiwa kutupa kete ya pili kwenye mchezo wao wa pili dhidi ya Timu ya Taifa ya Uganda. Dakika 90 za mwanzo zilikuwa na maumivu hasa baada ya Stars kuambulia kichapo cha bao 1-0 kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo…

Read More

MWAKINYO KUPANDA ULINGONI LEO

BONDIA kutoka Tanzania Hassan Mwakinyo leo Septemba 3,2022 anatarajiwa kupanda ulingoni kuzichapa kwenye pambano la raundi 12.  Jana Septemba 2, Mwakinyo aliweza kupima uzito huko jijini Liverpool nchini Uingereza akiwa tayari kushuka Ulingoni kuzichapa na Muingereza Liam Smith. Pambano hilo linatarajiwa kuchezwa saa 3:00 usiku Jijini Liverpool kwenye Ukumbi wa M&S Bank Arena ndani ya…

Read More

MAUJUZI YA CHAMA, SAKHO KUWAONA NI BURE KABISA

BAADA ya mechi mbili za kirafiki nchini Sudan, leo Septemba 3,2022 kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Zoran Maki kitamenyana na Arta Solar saa 4:00 asubuhi, Uwanja wa Uhuru. Mchezo wa kwanza kwenye michuano maalumu ambayo Simba walialikwa walishinda mabao 4-2 dhidi ya Asante Kotoko na ule wa pili walipoteza kwa kufungwa bao 1-0…

Read More

TAIFA STARS KAMILI KUIVAA UGANDA LEO

 KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Honour Janza ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Uganda. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Septemba 3,2022 jijini Kampala, Uganda huku akiweka wazi kwamba wapo tayari kwa mchezo wa leo. Itakuwa ni Uwanja wa St Marys kwenye mchezo wa…

Read More