
VIDEO:KOCHA KAGERA SUGAR AKUBALI MUZIKI WA SIMBA
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wamepoteza mchezo wao mbele ya Simba kutokana na makosa ambayo walifanya wachezaji wake huku akiwataja wachezaji wa Simba ikiwa ni pamoja na Clatous Chama kuwa ni moja ya viungo wazuri