
SIMBA KUCHEZA MECHI ZA KIMATAIFA
BAADA ya kuongoza kikosi cha Simba kwenye mechi mbili za ligi na kushinda zote, Zoran Maki, Kocha Mkuu wa Simba anatarajiwa kukiongoza kikosi hicho kwenye mechi za kimataifa za kirafiki ambapo wanatarajia kucheza na Asante Kotoko ya Ghana. Ni kwenye mashindan maalumu ambayo Simba wamealikwa yanatarajiwa kufanyika nchini Sudan wakialikwa na Klabu ya Al Hilal….