
WAAMUZI WAKUTANA NA RUNGU
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) katika kikao cha Agosti 26 ilipitia mwenendo wa matukio mbalimbali na kufanya maamuzi huku waamuzi wakifungiwa na wengine kupewa onyo. Ni Raphael Ikambi aliyekuwa mwamuzi wa kati mchezo wa Coastal Union 0-2 Yanga uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Ikambi…