MAN U YAINGIA ANGA ZA DEPAY

MANCHESTER United inatajwa kuwania saini ya mshambuliaji wa Barcelona, Memphis Depay ili kuwanaye ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu England.  Wanatajwa kuweka mezani kiasi ch pauni 8.4 milioni ili kuweza kumnasa mshambuliaji huyo. Msimu wa 2021/22 nyota huyo ndani ya La Liga alitupia mabao 12 akiwa ni kinara wa utupiaji ndani ya Barcelona. Awali…

Read More

BREAKING:AZAM FC YAACHANA NA MAKOCHA WAO

UONGOZI wa Azam FC umefikia makubaliano ya kuachana na makocha wao wawili kwenye majukumu ya kuinoa timu hiyo hivyo watabadilishiwa majukumu. Taarifa rasmi iliyotolewa na Azam FC imeeleza namna hii:”Tumefikia makubaliano ya pande mbili na kocha wetu, Abdihamid Moallin, na msaidizi wake, Omary Nasser, kuachia ngazi kama kocha mkuu na msaidizi mtawalia. “Hata hivyo, makocha…

Read More

SIMBA YACHEKELEA USHINDI

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa ushindi ambao wameupata mbele ya Asante Kotoko walistahili na kama wagekuwa makini zaidi wangeshinda kwa mabao mengi. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Zoran Maki imealikwa kwenye mashindano maalumu nchini Sudan ambayo yameandaliwa na Klabu ya Al Hilal. Mchezo wao wa kwanza Simba ilishinda mabao 4-2 huku…

Read More

NABI:HAITAKUWA KAZI RAHISI KUTWAA UBINGWA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa ushindani kwenye ligi ni mkubwa jambo ambalo linawafanya wazidi kujipanga kwa mechi zao. Yanga ni mabingwa watetezi wa taji la ligi ambalo walitwaa msimu wa 2021/22 kutoka mikononi mwa watani zao wa jadi Simba. Timu hiyo imecheza mechi mbili na kukusanya pointi sita, ilishinda mabao 2-1…

Read More

KOCHA LIVERPOOL ABADILI MAAMUZI

KLABU ya Liverpool imeweka dau la pauni milioni 60 kuinasa saini ya kiungo wa Barcelona, Frenkie de Jong. Mpango wa timu hiyo ni kuinasa saini ya nyota huyo ili aweze kutua ndani ya Anfield kwa ajili ya kucheza mechi za Ligi Kuu England pamoja na mashindano mengine. Jurgen Klopp Kocha Mkuu wa Liverpool amebadili mawazo…

Read More

SIMBA YAANZA KWA USHINDI UGENINI KIMATAIFA

 MCHEZO wa kwanza wa kirafiki nchini Sudan kwenye mashindano maalumu ambayo Simba kutoka Tanzania imealikwa na Al Hilal wameibuka na ushindi wa mabao 4-2 Asante Kotoko. Kipa namba moja kwenye mchezo huo alikuwa Ally Salim ambaye alibeba mikoba ya Aishi Manula na Beno Kakolanya ambao wapo kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa…

Read More