SIMBA QUEENS MABINGWA KIMATAIFA
BAADA ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma She Corporate 0-1 Simba Queens katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake ukanda wa CECAFA Simba wanatangazwa kuwa mabingwa wa mashindano hayo. Bao pekee la ushindi kwa Simba lilijazwa kimiani na Vivian Corazona dakika ya 46 kwa mkwaju wa penalti. Dakika 45 za mchezo…