
KOCHA NABI AFUNGUKIA ISHU YA MANZOKI
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa kwa sasa hawana mpango wa kuweza kumsajili mchezaji mwingine wa kigeni kama ambavyo imekuwa ikielezwa. Jina la nyota Cesar Manzoki ambaye ni mali ya Vipers SC ya Uganda limekuwa likitajwa kuweza kumalizana na Yanga kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo msimu wa 2022/23. Pia mshambuliaji…