MZUNGU WA SIMBA ATUPIA MBELE YA KAGERA SUGAR
SIMBA imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Mabao ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Zoran Maki yamefungwa na Moses Phiri dakika ya 42 na bao la pili lilifungwa na Dejan dk ya 81. Simba inafikisha pointi 6 kibindoni baada ya kucheza mechi mbili…