LEO Agosti 17,2022 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo timu sita zitakuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu.
Coastal Union v KMC, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Arusha.
Simba v Geita Gold, Uwanja wa Mkapa.
Azam FC v Kagera Sugar,Uwanja wa Azam Complex.
Jana Agosti 16 zilichezwa mechi kwenye viwanja tofauti na matokeo yalikuwa namna hii:-
Polisi Tanzania 1-2 Yanga, Uwanja wa Sheik Amri Abeid
Singida Big Stars 1-0 Tanzania Prisons,Uwanja wa CCM Liti.