SportsVIDEO:NABI:DABI ILIKUWA YAKIMBINU,TULIWAPA KUJIAMINI KUCHEZA Saleh2 years ago01 mins NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mchezo wa Dabi dhidi ya Simba haukuwa rahisi wanawapa pongezi kwa kuwa walikuwa na mchezo mzuri jambo ambalo linapandisha thamani ya ligi ya Tanzania na ulikuwa ni mchezo wa mbinu Post navigation Previous: KOCHA MAKI ATAJA KILICHOSABABISHA KUFUNGWA NA YANGANext: MUDA WA MAANDALIZI UMEFIKA KWA SASA ILI KAZI IENDELEE