MWAIKIMBA ASIMULIA ALIVYOLAMBA M 58 ZA M-BET TANZANIA
MKAZI wa mkoa wa Mbeya, Ojilloh Gadson Mwaikimba ameshinda kiasi cha Sh 58, 650,180 baada ya kubashiri kwa usahihi matokea ya mechi 12 ya ligi mbalimbali duniani kupitia droo ya kampuni ya M-BET –Tanzania. Mwaikimba ambaye ni shabiki wa timu ya Manchester City amesema kuwa haikuwa rahisi kushinda fedha hizo kutokana na ugumu wa kubashiri…