
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA COASTAL UNION
MBELE ya Coastal Union kwenye mchezo wa fainali leo Julai 2,2022 kiungo Zawad Mauya ataanzia benchi pamoja na Mshery,Yassin,Bacca,Moloko,Kaseke,Nkane,Makambo na Ambundo. Kikosi cha kwanza ni Diarra Djigui Djuma Shaban Farid Mussa Dickson Job Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala Kahlid Aucho Sure Boy Feisal Salum, Chico Ushindi Fiston Mayele