BAADA YA KUFUNGIWA MANARA AFUNGUKA
OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amepewa adhabu ya kufungiwa miaka miwili leo Julai 21. Adhabu hiyo imetokana na makosa ambayo amekutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania. Mbali na kufungiwa miaka miwili pia Manara amepewa adhabu ya kutoa faini ya shilingi milioni 20. Baada ya adhabu hiyo,Haji Manara ametoa kauli…