SAKHO BAO LAKE LAINGIA TATU BORA CAF
KIUNGO wa Simba Pape Sakho bao lake limeingia kwenye tatu bora kwa wale ambao wanaowania tuzo ya bao bora la CAF msimu wa 2021/22. Kwa hatua hiyo bao la nyota huyo anayekipiga ndani ya Simba limepigiwa kura kiasi kikubwa na mashabiki wa Sakho ambao ni Watanzania pamoja na mashabiki wa mpira waliopo Tanzania na nje ya…