WIKI YA MWANANCHI KUANZA AGOSTI MOSI
WIKI ya Mwananchi itaanza rasmi Agosti Mosi mwaka huu wa 2022 ambapo wanatarajia kucheza mchezo na timu ya kimataifa Uwanja wa Mkapa. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amebainisha kwamba kambi ya maandalizi kwa msimu wa 2022/23 inatarajiwa kuanza kesho Julai 20,2022 Kigamboni. “Tutafanya kambi yetu Kigamboni ambapo kuna eneo zuri na…