USIKU wa mastaa ambapo tuzo zinatolewa katika Hotel ya Johari Rotana Dar na kikosi bora kwa msimu wa 2021/22 kipo namna hii:-
Djigui Diarra wa Yanga
Djuma Shaban Yanga
Mohamed Hussein Simba
Henock Inonga Simba
Bakari Nondo Mwamnyeto Yanga
Yannick Bangala Yanga
Abdul Suleiman Sopu Coastal Union
Feisal Salum Yanga
Fiston Mayele Yanga
George Mpole Geita
Pape Sakho Simba
Imeandikwa na Dizo Click