VIDEO:HAJI MANARA ASIMULIA ALICHOONGEA NA RAIS WA TFF

HAJI Manara,Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa anafarijika akikaa kwenye TV ila akiwa uwanjani anakuwa na presha kubwa azungumzia suala la mechi dhidi ya Coastal Union,ameweka wazi kwamba hakutamka lugha ya matusi mbele ya Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF),Wallance Karia