
NATHANIEL CHILAMO ATAMBULISHWA AZAM FC
NI beki wa kulia, Nathaniel Chilambo ambaye alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Ruvu Shooting amepata changamoto mpya. Hivyo bei huyo msimu ujao wa 2022/23 atakuwa na uzi wa Azam FCpale viunga vya Azam Complex. Chilambo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuweza kuitumikia timu hiyo ambayo inauhakika wa kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika baada ya…