VIDEO:SIMBA HAIKUWA MSIMU MZURI KWETU,DILUNGA BADO,USAJILI

SELAMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa msimu wa 2021/22 haukuwa mzuri kwao jambo ambalo liliwafanya waweze kushindwa kutwaa mataji waliyokuwa wanatetea.Kusuhu wachezaji ambao wataondoka katika kikosi hicho ni suala la kusubiri ripoti itakavyokuwa siku ikifika