MORRISON AFUNGUKA KUSAINI YANGA KWA MARA YA KWANZA, APIGA KIJEMBE SIMBA – “SISI TUNA WATU”..

GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mchezaji, Benard Morrison, kuhusiana na masuala mbalimbali yanayomuhusu ikiwemo sababu za kuondoka Simba na klabu anayoelekea. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx