KOCHA GEITA AFUNGUKA MPOLE KUTUA SIMBA, YANGA

KOCHA Mkuu wa kikosi cha Geita Gold, Fred Felix Minziro, ameweka wazi kuwa ni kweli kuna uwezekano mkubwa wakampoteza straika na nahodha wa kikosi chao, George Mpole ambaye anatajwa kupokea ofa kutoka klabu za Simba na Yanga. Mpole amekuwa miongoni mwa wachezaji ambao wako kwenye nafasi kubwa ya kuondoka ndani ya kikosi cha Geita Gold…

Read More

YANGA KESHO KUIVAA COASTAL UNION

 NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mchezo wa kesho wa hatua ya fainali dhidi ya Coastal Union utakuwa mgumu lakini wapo tayari. Yanga inakwenda kumenyana na Coastal Union ikiwa imetwaa taji la Ligi Kuu Bara na pointi zake 74. Imeweza kutwaa taji hilo ikiwa haijapoteza na kesho inakwenda kupambana kusaka taji lingine la…

Read More

KIUNGO MNIGERIA ASAINI AZAM FC

AZAM FC leo Julai Mosi wameufungua mwezi kwa kumtamulisha nyota mpya kwa ajili ya kuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23. Ni kiungo mkabaji kutoka Nigeria, Isah Ndala ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili. Ndala alikuwa akichezea Plateau ya Nigeria, amesaini mkataba mbele ya mmiliki wa timu, Yusuf Bakhresa na Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA NDANI YA ARDHI YA DAR

KIKOSI cha Simba leo kimewasili salama Dar kikitokea Songea ambapo kilikuwa na mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya Kwanza. Sima chini ya Kocha Msaidizi Selaman Matola ilitoshana nguvu bila kufungana na Mbeya Kwanza katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Majimaji,Songea. Matola amesema kuwa kukamilika kwa msimu huu wa 2021/22 ni mwanzo wa…

Read More

KIUNGO ANDAMBWILE ASAJILIWA SINGIDA BIG STARS

 RASMI mabosi wa Singida Big Stars wameweza kumtambulisha nyota mpya katika kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao. Anaitwa Aziz Andambwile ambaye alikuwa akitajwa kuwaniwa pia na Klabu ya Namungo inayotumia Uwanja wa Ilulu. Ni kiungo mwenye uwezo wa kucheza nafasi tofauti tofauti uwanjani. Mchezaji kijana, mzawa, msomi, mpambanaji wa kweli akiwa na timu yake…

Read More

UJUMBE WA BANGALA NA DJUMA KWA COASTAL UNION HUU HAPA

YANNICK Bangala na Djuma Shaban mabeki wa Yanga wameweka wazi kwamba kesho watapambana mbele ya Coastal Union kwenye mchezo wa fainali Kombe la Shirikisho. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba na kufanikiwa kutinga hatua ya fainali. Kesho inatarajiwa kukutana na Coastal Union kwenye mchezo wa…

Read More

NYOTA KUTOKA EVERTON KUIBUKIA TOTTENHAM

KLABU ya soka ya Totenham Hotspurs imefanikiwa kukamilisha dili la kumsajili mshambuliaji wa Everton na timu ya Taifa ya Brazil Richarlison kwa ada ya paundi milioni 50.  Kwa mujibu wa mwandishi wa Habari za michezo anayeshughulika na taarifa za usajili barani humo, Fabrizio Romano amethibitisha kuwa Totenham wamefanikiwa kutoa kitita hicho huku Richarlison akifanikiwa pia…

Read More