TIMU SABA KUSHIRIKI BONANZA MAALUMU LA TECHNO AUDITORS
JUMLA ya timu saba za Maveterans zitashiriki katika bonanza maalum la mpira wa miguu litakalofanyika leo Jumapili (Julai 31, 2022) kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama. Bonanza hilo limeandaliwa na taasisi ya ukaguzi wa mahesabu, ushauri wa kifedha, biashara na masuala ya kodi ya Techno Auditors kwa kushirikiana na timu ya Kijitonyama Veterans. Mkurugenzi Mtendaji wa…