VIDEO:MSHAMBULIAJI HUYU TP MAZEMBE AINGIA ANGA ZA SIMBA

IMEELEZWA kuwa Simba ipo kwenye mpango wa kuinasa saini ya mshambuliaji kutoka Klabu ya TP Mazembe Sezo ili awe ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2022/22 huku Chris Mugalu na Meddie Kagere wakitajwa kuwa kwenye mpango wa kuachwa na mshambuliaji huyo anatajwa kuwa pendekezo la Pablo Franco kabla ya kufutwa kazi