TEN HAG NA MTEGO WA USAJILI MAN U
DIRISHA la usajili limefunguliwa rasmi tangu, Juni 10, mwaka huu na litafungwa Septemba Mosi mwaka huu ikiwa ni wakati muhimu hasa kwetu kama Manchester United kwa kuhakikisha tunafanya maboresho. Jana Manchester United ilithibitisha rasmi kuachana na nyota wake 11 huku nje ya hao kuna wengine pia wanaweza kuondoka kikosini hapo. Katika nyota ambao imethibitisha kuachana…