
YANGA YABAINISHA WAMEUKAMATA MCHEZO DHIDI YA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema wameukamata vizuri mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Ni leo Mei 28 mchezo huo ambao umeshika hisia za mashabiki wengi unatarajiwa kuchezwa kwa timu ambayo itatinga hatua ya fainali. Mshindi wa mchezo wa leo anatarajiwa kucheza na mshindi wa…