
BAO LA FEI KWA SIMBA THAMANI YA BILIONI
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesesema kuwa bao alilofuga Feisal Salum mbele ya Simba ni la viwango vikubwa na thamani yake ni bilioni. Feisal alifunga bao hilo kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba na kuwaondoa Simba kwenye hatua ya nusu fainali. Manara amesema halikuwa bao jepesi kwa…