
VIDEO:YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA PENALTI YA MAYELE
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wakati uliopo kwa sasa ni mashabaki kuendelea kuwa bega kwa bega na timu hiyo na kuacha kujadili suala la mchezaji wao Fiston Mayele kukosa penalti mbele ya Tanzania Prisons kwa kuwa wanaamini kwamba ni jambo la kawaida kutokea kwenye mchezo. Ameweka wazi kwamba Mayele ni mpigaji mzuri…