SIMBA BADO HAIJAKATIA TAMAA UBINGWA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wameweka wazi kwamba bado hawajakata tamaa kuhusu kuweza kutetea taji lao hilo kwa msimu huu. Jana,Mei 8, Simba iliweza kupata ushindi wa mabao 4-1 mbele ya Ruvu Shooting huku nahodha John Bocco akiwa ni miongoni mwa watupiaji akifunga bao lake la kwanza msimu wa 2021/22 kwenye ligi….