SIMBA YATAJWA SARE ZA YANGA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi sababu kubwa ya kupata sare katika michezo yao miwili mfululizo iliyopita ni uchovu ambao wachezaji wao walikuwa nao, kutokana na kutumia nguvu kubwa ya kujiandaa na kucheza mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba uliopigwa Jumapili iliyopita. Aprili 30,2022wababe haowalikutana uwanjani kwenye mchezo wa ligi na kugawana pointi…