RUVU SHOOTING YAIBANA MBAVU YANGA

MABINGWA mara 27 wa Ligi Kuu Bara, Yanga kwa kutoshana nguvu bila kufungana ndani ya dakika 90. Ulikuwa ni mchezo wa matumizi ya nguvu na akili kwa wachezaji wote wa timu mbili kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Fiston Mayele, Heritier Makambo na Ngushi utatu huu ulikwama kuitungua Ruvu Shooting kwenye mchezo huo kwa kushindwa…

Read More

ISHU YA INONGA NA MAYELE YAJADILIWA NA KOCHA YANGA

ALIYEWAHI kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amefunga mjadala wa ubora wa mshambuliaji Fiston Mayele na beki wa Simba, Henock Inonga. Hiyo ni baada ya wachezaji hao kuzua mjadala mara baada ya mchezo wa Kariakoo Dabi uliozikutanisha Yanga dhidi ya Simba ambao ulichezwa…

Read More

NAHODHA YANGA ASAINI MIAKA MIWILI

NAHODHA na beki wa kati tegemeo ndani ya Yanga, Bakari Mwamnyeto, ameongeza mkataba wa miaka miwili wenye thamani inayotajwa kufikia shilingi milioni 200 kuendelea kukipiga Jangwani. Beki huyo ameongeza mkataba kuendelea kuichezea timu hiyo, baada ya ule wa awali wa miaka miwili kutarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu. Mwamnyeto ni kati ya mabeki waliokuwa wakitajwa…

Read More

YANGA YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA RUVU SHOOTING

CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wanahitaji kushinda kwenye mchezo wa leo dhidi ya Ruvu Shooting ili kuweza kupata pointi tatu muhimu. Vinara hao wa ligi wenye pointi 55 wanatarajiwa kushuka uwanjani leo kusaka pointi tatu kama ambazo zinasakwa na Ruvu Shooting saa 10:00 jioni, Kaze ameweka wazi kwamba mchezo wa leo utakuwa…

Read More

MASTAA SITA SIMBA KUPIGWA ‘PANGA’ MAZIMA

KATIKA kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara watakachokitumia katika michuano ya kimataifa msimu ujao, Simba SC imepanga kuachana na wachezaji sita wa kigeni mwishoni mwa msimu huu ambao mikataba yao inamalizika. Hiyo ni katika kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara kitakachofanikisha malengo yao ya kufika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo mikubwa Afrika inayosimamiwa na Shirikisho…

Read More

USHINDI MUBASHARA NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!

Mchezo wa Blackjack Live Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na watenganezaji maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios. Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwakutumia  kibunda chenye karata 8. Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana…

Read More