SIMBA YALIA NA MAPOKEZI YA ORLANDO PIRATES

MSAFARA wa viongozi pamoja na wachezaji wa Simba leo wamewasili salama nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao dhidi ya Orlando Pirates ila wamebainisha kwamba mapokezi yalikuwa ni mabaya. Ikiwa inanolewa na Kocha Mkuu,Pablo Franco ina kazi ya kusaka ushindi Aprili 24 kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya…

Read More

NTIBANZOKIZA KUIKOSA NAMUNGO KESHO KWA MKAPA

KOCHA Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Saido Ntibazonkiza atakosekana kwenye pambano la kesho dhidi ya Namungo kutokana na majeraha. Akiongea na Waandishi wa Habari kuelekea pambano la kesho Kaze amesema Saido Nitbazonkiza hawezi kuwa sehemu ya kikosi hicho japo viungo wengine waliokuwa majeruhi kama Khalid Aucho na Feisal Salum…

Read More

KIUNGO RWANDA ATAMANI KUCHEZA NA FEI TOTO YANGA

KIUNGO mkabaji wa Kiyovu ya Rwanda, Mrundi, Ismail Nshimiyimana ‘Pitchou’, amefunguka kuwa, haitakuwa shida kwake kama ikitokea anapata nafasi ya kucheza sambamba na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei ToTo’ kutokana na uwezo mkubwa alionao licha ya kuheshimu uwepo wa Mganda, Khalid Aucho. Pitchou ametoa kauli hiyo kufuatia wiki iliyopita kufuatwa na Makamu Mwenyekiti…

Read More

KOCHA KAIZER CHIEFS AFUKUZWA KAZI

KLABU ya Kaizer Chiefs na Kocha Stuart Baxter wamefikia makubaliano ya pamoja ya kuvunja mkataba wa kocha huyo aliyerudi kuifundisha klabu hiyo kwa mara ya pili mara baada ya kuhudumu mwanzo kwenye klabu hiyo. Akiwa na Kaizer Chief amefanikiwa kushinda michezo 9 ametoka sare michezo 6 na kufungwa michezo 8 na katika kipindi hicho klabu…

Read More

MASTAA SIMBA WAWAFUATA OLRANDO PIRATES

KLABU ya Soka ya Simba imeanza safari Alfajiri ya leo ijumaa 22, 2022 kuelekea nchini Afrika Kusini ambako itakwenda kucheza mechi yake ya marudiano dhidi ya Klabu ya Orlando Pirates ya nchini humo. Simba inakwenda Afrika Kuisni ikiwa na faida ya ushindi wa bao moja ilioupata katika mchezo wa kwanza uliofanyika jijini Dar es Salaam…

Read More

SITA KUSHIRIKI MASHINDANO YA WIKI YA MACHINGA

TIMU sita zitashiriki katika mechi maalumu za kuadhimisha Wiki ya Wamachinga zitakazochezwa kwenye Uwanja wa Karume. Meneja wa Machinga wa Soko la Machinga Complex,Karume,Stellah Othman Mgumia alizitaja timu hizo. Mamlaka ya Mapato Tanzania,(TRA),Pepsi,Shirika la Bima la Taifa,(NIC),Mmalaka ya Chakula na Dawa, (TMDA) na Timu ya Waandishi wa Habari za Michezo,(Taswa). “Ni maandimisho ya kwanza ya…

Read More

ORLANDO SIO WATU WAZURI LAZIMA SIMBA IJIPANGE

TAYARI ile ngwe ya kwanza kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali kwa Simba imeshakamilisha na mpango kazi wa awali umeshakwisha. Mbele ya mashabiki wao wengi waliojitokeza 60,000, Simba ilifanikiwa kushinda bao 1-0 dhidi ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo ambao ulikuwa unahitajika ushindi. Hapa ni dk 90 za mwanzo nyumbani na kuna dk nyingine za…

Read More

SIMBA:HATUTARUDIA MAKOSA,TUTAFUZU NUSU FAINALI

BAADA ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Orlando Pirates kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC wamesema wanakwenda Afrika Kusini kumalizia kazi na wanaamini kwamba hawatarudia makosa. Jumapili, Aprili 17,Simba iliibuka na ushindi huo katika Uwanja wa Mkapa, Dar, Jumapili ijayo watarudiana nchini Afrika Kusini ambapo…

Read More

MANCHESTER CITY YAISHUSHA LIVERPOOL

KLABU ya Manchester City imefikisha pointi 77 huku Liverpool ikiwa na pointi 76 zote zimecheza mechi 32 na City ni namba moja kwenye msimamo. Ushindi wa mabao 3-0 Brighton and Hove Albion umetosha kuwarejesha tena kileleni. Mabao Uwanja wa Etihad yalifungwa na Riyad Mahrez dk 53,Phil Foden dk 65 na Bernardo Silva dk 82. City…

Read More

ARSENAL WAIBOMOA CHELSEA STAMFORD BRIDGE

WAKIWA ndani ya Uwanja wa Stamford Bridge mbele ya mashabiki 32,249 Arsenal wamegoma kuchana mkeka na badala yake wameishushia kichapo Chelsea ikiwa nyumbani. Baada ya dk 90 ubao ulisoma Chelsea 2-4 Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu England uliokuwa ni wa kukata na shoka. Mabao ya wenyeji Chelsea yalifungwa na Timo Werner dk 17 na…

Read More