ASHA MASAKA AANZA CHANGAMOTO MPYA SWEDEN
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake, Twiga Stars, Asha Masaka ambaye alikwea pipa kwa na kuibukia Sweden Machi 30 tayari ameshatambulishwa kwenye timu yake mpya na kuanza kazi. Nyota huyo amepata dili la kujiunga na Klabu ya BK Hacken inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Sweden kwa makubaliano na Klabu ya Yanga Princes…