MUGALU,BERNARD MORRISON KIMATAIFA NI HABARI NYINGINE
NYOTA wawili wa Simba, Bernard Morrison na Chris Mugalu kwenye mashindano ya kimataifa ni habari nyingine kwa kuwa wameweza kufanya maajabu kwenye mechi ngumu kwa kushirikiana na wachezaji wengine. Morrison kwenye mashindano ya kimataifa kuanzia hatua ya mtoano ametumia dk 290 katupia mabao matatu na pasi mbili za mabao. Chris Mugalu yeye amecheza mechi tatu…