SIMBA WATAJA SABABU YA KUSHINDWA KUPATA MATOKEO
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna ugumu mkubwa wa kupata matokeo kutokana na ubora wa viwanja pamoja na kushindwa kutumia nafasi ambazo wanazipata. Mechi mbili ugenini, Pablo kaambulia pointi nne huku akipoteza pointi mbili kwenye msako wa pointi sita, mchezo wake ujao ni dhidi ya Orlando Pirates ambao wa ni wa Kombe…