April 28, 2022
MAPILATO HAYA YANGA V SIMBA ACHA KABISA
MCHUJO mkubwa kwa sasa ambao unaendelea kwa sasa ni kwa mapilato watakaokuwa kwenye mchezo wa Yanga v Simba unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30, Uwanja wa Mkapa. Siku 2 zimebaki kwa sasa na hapa tunakuletea wale waamuzi watano ambao waliwahi kuchezesha mechi zilizowahusu Yanga na Simba na huenda jina moja likapenya kwa wale watakaochezesha dabi ijayo na…
KOCHA SIMBA AFANYA KIKAO NA WACHEZAJI WOTE KISA YANGA
MARA baada ya kikosi cha Simba kutua nchini, haraka Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mhispania, Pablo Franco alifanya kikao kizito na wachezaji wake wote kambini akiwemo Mkongomani, Hennock Inonga katika kuelekea Kariakoo Dabi. Dabi hiyo inatarajiwa kuzikutanisha timu kongwe za Simba dhidi ya Yanga, mchezo ambao utapigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar…
SHIZA KICHUYA KAWATUNGUA MAKIPA WATATU KWA MGUU WA KUSHOTO
MOJA ya mabao bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 hata ukitaja mawili,huwezi liweka kando alilofunga mzawa Shiza Kichuya anayekipiga Namungo mbele ya Yanga. Ni bao lenye majabu kati yale matatu aliyonayo aliweza kumtungua Diarra Djigui kwa mguu wa kushoto akiwa nje ya 18,Uwanja wa Mkapa. Tupo naye leo kwenye data kucheki namna…
AIR MANULA:TUMEJISKIA VIBAYA KUTOLEWA KIMATAIFA
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye alikaa langoni kwenye mechi zote za kimataifa msimu huu wa 2021/22 ambazo Simba imecheza amesema kuwa wamejiskia vibaya kutolewa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho. Mbele ya Orlando Pirates dk 90 za Uwanja wa Mkapa, Manula aliweza kushuhudia timu yake ikishinda bao 1-0 na walipowafuata…
HOFU YATANDA SIMBA KISA MUZIKI WA YANGA
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amesema kuwa kikosi cha Yanga kwa sasa kipo vizuri katika michuano ya ligi kuu jambo ambalo ni hatari kuelekea katika mchezo wa dabi dhidi ya Simba. Yanga kwa sasa wanaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 13 dhidi ya Simba wanaoshika nafasi ya pili lakini wakiwa mbele kwa…
KLOPP ANAAMINI NI MAPUMZIKO WAKIONGOZA 2-0
JURGEN Klopp,Kocha Mkuu wa Liverpool alikuwa shuhuda wa vijana wake wakiitungua mabao 2-0 Villarreal katika mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA Champions League. Mbele ya mashabiki 51,586 katika Uwanja wa Anfield kipindi cha kwanza mambo yalikuwa ni magumu kwa timu zote mbili kwa kuwa halikupatikana bao. Ni Pervis Estupinan Tenorio alijifunga dk 53…
GUARDIOLA ABAINISHA VINICIUS HAKABIKI
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amebainisha kwamba sio rahisi kumdhibiti Vinicius Jr ila iliwezekana kupitia kwa Fernandinho. Manchester City ilipata ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezwa Uwanja wa Etihad. Wao City walikuwa ni wenyeji na waliibuka na ushindi…
YANGA:HAO SIMBA NI WAKAWAIDA TU
UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kwamba wapinzani wao Simba ni wa kawaida, hivyo hawana hofu kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30, 2022. Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga, amesema wachezaji wao wapo tayari na wanatambua kwamba mchezo huo ni muhimu kupata pointi tatu ili kuufikia ubingwa wa ligi hiyo. “Ipo wazi…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi