MANARA:TUNA WAHESHIMU SIMBA,ILA TUNATAKA POINTI TATU
Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wamewazidi wapinzani wao Simba pointi 13 ambazo ni nyingi. Manara amesema kuwa hilo haliwafanyi waamini kwamba watashinda mchezo wao badala yake wanawaheshimu Simba. “Tumewazidi pointi 13 na tunajua kwamba tuna uwiano mzuri kwa mabao ya kufungwa na kufungwa lakini haina maana kwamba tutawadharau wapinzani wetu hapa. “Ambacho…