ORLANDO Pirates wakiwa nyumbani wamewatungua Simba bao 1-0 kwenye mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho.
Kipindi cha pili Simba walifungwa bao hilo na kuwafanya wakwame kupata ushindi.
Ni baada ya Chris Mugalu kuonyeshwa kadi nyekundu.
Sasa mshindi anatafutwa kwa mikwaju ya penalti.