SIMBA YALIA NA MAPOKEZI YA ORLANDO PIRATES
MSAFARA wa viongozi pamoja na wachezaji wa Simba leo wamewasili salama nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao dhidi ya Orlando Pirates ila wamebainisha kwamba mapokezi yalikuwa ni mabaya. Ikiwa inanolewa na Kocha Mkuu,Pablo Franco ina kazi ya kusaka ushindi Aprili 24 kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya…