SIMBA WAIVUTIA KASI ORLANDO PIRATES
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kimeanza kuwavutia kasi wapinzani kimataifa kwa ajili ya mchezo wao wa marudio. Simba ina kazi ya kusaka ushindi ama sare katika mchezo wao ujao dhidi ya Orlando Pirates baada ya ule wa awali ambao ni wa robo fainali ya kwanza kuweza kushinda bao 1-0. Meneja wa…