NJOMBE MJI YAPOTEZA MBELE YA RHINO RANGERS
KLABU ya Njombe Mji leo Aprili 19 imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Rhino Rangers katika mchezo wa 8 bora. Mtupiaji Ibrahim Mdaki alitumia mtindo wa kupekecha kama Pape Sakho wa Simba kushangilia na kuimaliza mazima Njombe Mji. Katika mchezo mwingine wa kundi A ilishuhudiwa Alliance FC wakitoshana nguvu na Tunduru Korosho. Baada ya…