
KOCHA NABI AIGOMEA SIMBA,HESABU KWA NAMUNGO
KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amewapiga mkwara mastaa wake kwa kuwataka kutofikiria mchezo wa Dabi ya Kariakoo na badala yake kuhamisha akili zao dhidi ya Namungo FC. Yanga kabla ya kuvaana dhidi ya Simba Aprili 30, mwaka huu katika Dabi ya Kariakoo watacheza dhidi ya Namungo Aprili 24, katika mchezo wa ligi kwenye…