MZEE MAKOROKOCHO AJIBU NI MBILI TU

NYOTA Ibrahimu Ajibu mzee wa makorokocho rekodi zinaonyesha kuwa alijenga ushikaji akiwa ndani ya Simba kwa kuwa aliweza kucheza mechi mbili pekee. Ajibu hakuwa ni chaguo la kwanza mbele ya Kocha Mkuu, Pablo Franco ambaye alikuwa akiweka wazi kwamba nyota huyo ni moja ya viungo wenye uwezo mkubwa. Akiwa ndani ya kikosi cha Simba kiungo…

Read More

MAYELE ALIWEKWA MTU KATI UWANJA WA MKAPA NA NYOSSO

FISTON Mayele mshambuliaji wa Yanga aliwekwa mtu kati juzi mbele ya Geita Gold baada ya kukabidhiwa kwenye mikono salama ya Kelvin Yondan na Juma Nyosso ambao walikula naye sahani moja. Mzee huyo wa kutetema aliyeyusha dk 90 mazima bila kutetema huku kila hatua ambayo anakwenda nyuma alikuwa yupo Nyosso ama Yondani kwa ajili ya kwenda…

Read More

AIR MANULA KIMATAIFA MWENDO WAKE

HAKUNA anayejua itakuaje sasa kwenye hatua ya robo fainali baada ya Simba kufanikiwa kupenya hasa kwenye upande wa lango nani ataanza kati ya Aishi Manula,Beno Kakolanya ama Ally Salim. Weka kando kuhusu kufikiria nani ataanza lakini chaguo namba moja ni Manula ambaye amekuwa kwenye mwendelezo bora awapo langoni. Hapa tunakuletea namna nyota huyo alivyotimiza majukumu…

Read More

SIMBA WATAJA SABABU YA KUSHINDWA KUPATA MATOKEO

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna ugumu mkubwa wa kupata matokeo kutokana na ubora wa viwanja pamoja na kushindwa kutumia nafasi ambazo wanazipata. Mechi mbili ugenini, Pablo kaambulia pointi nne huku akipoteza pointi mbili kwenye msako wa pointi sita, mchezo wake ujao ni dhidi ya Orlando Pirates ambao wa ni wa Kombe…

Read More

SIMBA HESABU ZAO KUTINGA FAINALI ZIPO HIVI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa malengo makubwa ni kuweza kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika hivyo watahakikisha wanashinda hatua ya robo fainali ili kuweza kutinga hatua ya nusu fainali kisha fainali ili kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika. Ofisa Habari wa Simba,Ahmed Ally amesema kuwa benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco na Seleman…

Read More

TFF, TPLB SOGEZENI MACHO YENU CHAMPIONSHIP…

MWENDO wa Ligi Daraja la Kwanza umeongeza mvuto kwa kiasi kikubwa wakati ligi hiyo ikiwa inakwenda ukingoni.   Vinara ni DTB wakiwa na pointi 55 na inavyoonekana kama watashinda mechi zao mbili zilizobaki na kujikusanyia pointi sita, watakuwa na asilimia 95 ya kuwa tayari wamepanda hadi Ligi Kuu Bara.   Pointi 61 zinaonekana kuwa uhakika…

Read More

KAZI YA JOB ACHA

DICKSON Job, beki wa kati wa kikosi cha Yanga juzi alipiga kazi kwelikweli kwa kushirikiana na wahezaji wenzake ikiwa ni pamoja na Bakari Mwamnyeto,Yanick Bangala mbele ya Geita Gold. Beki huyo wa kati wakati Yanga ikitinga hatua ya nusu fainali aliyeyusha dk 90 na alikuwa ni mtengeneza mipango eneo la kati kwa kuwa pasi zilianzia…

Read More