PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba ametwaa tuzo ya Kocha Bora ndani ya Ligi Kuu kwa mara ya kwanza baada ya kupewa dili na Simba akichukua mikoba ya Didier Gomes.
Kwa mujibu wa Kikao cha Kamati ya Tuzo ya Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) kilichokaa hivi karibuni kimetoa mapendekezo ya jina la Pablo wa Simba.
Ametwaa tuzo hiyo akiwashinda Nasreddine Nabi wa Yanga na Francis Baraza wa Kagera Sugar aliongia nao fainali.
Anakuwa ni kocha wa 7 kutwaa tuzo hiyo ambayo imekuwa na ushindani mkubwa ndani ya msimu wa 2021/22.
Team Canada forward Jonathan David (#7) watches as his shot is saved by the Iceland goalkeeper during an international friendly match between Canada and Iceland at BMO Field in Toronto, Ontario, Canada, on March 28, 2026. (Photo by Indrawan Kumala/NurPhoto) (Photo by Indrawan Kumala / NurPhoto via AFP)