ZAKARIA Thabiti, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa mchezo wa kesho dhidi ya Yanga wapo tayari huku mchezaji mmoja ambaye ni Chilunda ataukosa mchezo wa kesho,Uwanja wa Azam Complex wenye nyasi za kisasa na kila kitu kikiwa ni cha kisasa na litapigwa pira vanilla, pira la kisasa saa 2:15 usiku.