UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 4-0 USGN katika mchezo wa makundi.
Watupiaji kwa Simba ni Sadio Kanoute dk 63,Chris Mugalu dk 68 na 78 na kipa wa USGN alijifunga dk 84.
Simba ipo nafasi ya pili na pointi 10 kundi D sawa na RS Berkane.
Timu mbili zinapita zote zikiwa zimekusanya pointi 10 kibindoni tofauti ikiwa ni mabao ya kufungana.
Simba inatinga hatua ya robo fainali ikiwa Uwanja wa Mkapa baada ya kuongeza utulivu Uwanja wa Mkapa.
Team Canada forward Jonathan David (#7) watches as his shot is saved by the Iceland goalkeeper during an international friendly match between Canada and Iceland at BMO Field in Toronto, Ontario, Canada, on March 28, 2026. (Photo by Indrawan Kumala/NurPhoto) (Photo by Indrawan Kumala / NurPhoto via AFP)