FT: YANGA 0-0 SIMBA
DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa kwa ubao kusoma Yanga 0-0 Simba. Ulikuwa ni mchezo mkali wa mzunguko wa pili na kufanya dk 180 kukamilika bila kufungana. Ule wa awali,ubao ulisoma Simba 0-0 Yanga hivyo katika msako wa pointi 6 wamegawana pointi mbilimbili. Mwamuzi wa kati Ramadhan Kayoko alionekana kuwa na presha mwanzo kabla ya…